MTV Base imetangaza kuwa muimbaji wa RnB, Trey Songz
atatumbuiza kwenye tuzo za MTV Africa Music (Awards) 2014.
Host wa show hiyo atakuwa mchekeshaji na muigizaji wa filamu
Marlon Wayans. Tuzo hizo zitafanyika kwenye ukumbi wa ICC, Durban June 7 ambapo
pamoja na Trey wasanii wengine kama Miguel, rapper French Montana, Davido,
Flavour, Tiwa Savage, and Mafikizolo, Uhuru, Oskido na Professor watatumbuiza.Diamond
ametajwa kuwania tuzo mbili mwaka huu.
ASANTE KWAKUTEMBELEA WEBSITE HII JIUNGE NASI KUWA MWANA FAMILIA WA JIMMCARTER.COM FACEBOOK-JIMCARTERTZ | TWITTER JIMMCARTERTZ
Post a Comment