Chege na Temba wameshoot video ya wimbo wao, Wauwe na kuwashirikisha
Jokate Mwegelo aka Kidoti na Julio waliogiza kama marubani wa ndege.
Tazama picha za uchukuaji wa video hiyo uliofanyika kwenye uwanja wa
ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Muongozaji wa
video ni Adam Juma.ASANTE KWAKUTEMBELEA WEBSITE HII JIUNGE NASI KUWA MWANA FAMILIA WA JIMMCARTER.COM FACEBOOK-JIMCARTERTZ | TWITTER JIMMCARTERTZ
Post a Comment