Wapenzi wa simu za ‘kishua’ za iPhone mpo Tayarii ?Get Redy Huenda toleo jipya la simu hizi likaingia mtaani soon.
Kumekuwepo na tetesi kwenye mitandao kuhusu simu hiyo lakini kikubwa zaidi watu wengi wanachokitazamia ni ukubwa wa screen kulinganisha na simu za hapo awali. Inaweza kuingia sokoni mwezi ujao.
Post a Comment