Kwa miaka mingi uhusiano mbaya wa Rapper Eminem na mama yake mzazi Debbie Mothers ulikuwa kama lishe ya mashairi ya album zake na video zilizopita, unakumbuka "Cleaning Out My Closet"? Akiwa amelenga palipo, Siku ya Jumapili ambayo ilikuwa ni Siku ya mama duiani, Eminem ameachia video ya wimbo "The Headlights" ambao umejaa mashairi ya kuomba msamaha kwa mama yake kwa kum-diss mara kadhaa kwenye ngoma na video zake.
VIDEO HII HAPA CHINI ITAZAME
Post a Comment