Kim Kardashian ni mjamzito, anatarajia kupata mtoto wa pili na mume wake Kanye West
Rapper Kanye West (37) na mke wake Kim Kardashian (34) wanatarajia kupata mtoto wa pili
Baada ya majaribio ya miezi kadhaa ya kushika ujauzito wa pili, Kim ameweka wazi kuwa ni mja mzito kupitia reality show ya Keeping Up With The Kardashians alipomueleza mdogo wake Khloe Kardashian juu ya majibu ya vipimo alivyofanya.
“I just got the blood test back and I am pregnant!” alisema Kim.
Kim na Kanye walipata mtoto wao wa kwanza wa kike North West June 15, 2013
Post a Comment