0
Baada ya kuifunga akaunti yake kwenye mtandao picha wa Instagram iliyokuwa na followers zaidi ya laki nne, na kuamua kufungua tena akaunti kwenye mtandao huo na post yakwanza iliwekwa may 10 ilikuwa ikisema Happy Mother's Day., 

Staa mrembo wa Bongo Movies, Elizaberth Michael ‘Lulu’ ametupia picha hizi 
mpya kwenye ukarasa wake huo mpya unaopatikana kwa anuani ya @ elizabethmichaelofficial kitendo ambacho kimewavutia mashabiki wengi waliommiss mrembo huyo ambaye ni mpenzi wa fasheni.








Post a Comment

 
Top