Niko karibu na wewe mtu wa nguvu.. Headlines nyingi kwenye vyombo vya habari ni ishu ya Uchaguzi Mkuu TZ 2015, wagombea nao kila mmoja anachukua headlines zake!
Niko ndani ya Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha ambako anasubiriwa Mbunge wa Monduli, Edward Ngoyai Lowassa, kaahidi kuongea kitu leo..
Credit Picha Zote Na MillardAyo
Post a Comment