0

Jarida la Forbes limetoa orodha ya waigizaji wanaovuta mkwanja mrefu zaidi mwaka 2015 na Robert Downey Jr aliyeigiza filamu ya “Avengers: Age of Ulton” ndio anaongoza orodha hiyo, akifuatiwa na Jack chan na namba tatu ameshika Vin Diesel muigizaji wa filamu za “Fast & Furious”. Orodha hii  azijumlishi makato ya kodi au malipo ya Agents, Icheck Orodha kamili

Robert Downey Jr: $80m
Jackie Chan: $50m
Vin Diesel: $47m
Bradley Cooper: $41.5m
Adam Sandler: $41m
Tom Cruise: $40m
Amitabh Bachchan: $33.5m
Salman Khan: $33.5m
Akshay Kumar: $32.5m
Mark Wahlberg: $32m
Dwayne Johnson: $31.5m
Johnny Depp: $30m
Leonardo DiCaprio: $29m
Channing Tatum: $29m
Chris Hemsworth: $27m
Daniel Craig: $27m

Post a Comment

 
Top