0

Ni mastaa wachache pia wanawajua mastaa wa Afrika, Wizkid aliiwahi kufanya collabo na Chris Brown lakini haijatoka bado, sasahivi kwenye list ya collabo zinazohit iko pia ya Davido Feat. Meek Mill ‘Fans Mi’.. iko hit ya Wizkid Feat. Drake ‘Ojuelegba,


Naweza Kusema Swizz beats na mke wake Alicia keys ni mashabiki wapya wa msanii kutoka Nigeria Wizkid, baada ya kupost video wakicheza track ya ‘Ojuelegba’ na kuipa caption ambayo na amini hata Wizkid mwenyewe alimchukua muda kidogo kuamini
A video posted by Alicia Keys (@aliciakeys) on
A video posted by Alicia Keys (@aliciakeys) on

Post a Comment

 
Top