Ommy Dimpoz yuko nchini Kenya ambako weekend iliyopita ameanza ziara yake ya kufunga mwaka nchini humo, kwa kufanya show ya kwanza ambayo imekuwa ‘soldout’.
Omary Nyembo aka Mr PKP alitumbuiza siku ya Jumamosi (Nov 28) kwenye county ya Turkana karibu na mpaka wa Sudan, ambako anasema wasanii ambao hupata nafasi ya kuitwa kutumbiza huko ni wale ambao wamehit sana.
Kwenye Ziara hiyo Dimpoz anatarajia kufanya jumla ya show 7.
tazama hizi picha na video
tazama hizi picha na video
Post a Comment