0
Ikiwa ni countdown ya ugeni katika familia yake  ugeni wa mtoto wake wa kwanza, msanii wa R&B, John Legend amerudi na nyingine mpya kwa ajili ya msimu wa mwaka huu wa Christmas na Mwaka Mpya ikiwa ni sehemu ya zawadi kwa mashabiki wake wengi. 

Wimbo ni ‘Under the Stars’, na kama hujaamua playlist yako kwa msimu huu wa Christmas na Mwaka mpya iwe na nyimbo gani, sio mbaya ukaanza na hii hapa huku ukiendelea kuipanga Christmas playlist yako.

Post a Comment

 
Top