RiRi amerudi na mziki mzuri kupitia album yake mpya ya ANTIdiaRy au ANTI , wimbo mpya umetoka aliofanya na rapa Drake “Work” uliotayarishwa na Boi-1da na kuandikwa na PARTYNEXTDOOR.
Hii ni collabo ya tatu ya Rihanna na Drake baada ya “Take Care” ya mwaka 2012 na “What’s My Name?” ya mwaka 2010.
Wimbo huu umefanikiwa kushika namba moja kwenye chati za itunes ndani ya dakika tisini tu toka umeachiwa kwenye mtandao huo.
Bofya Hapa Kuisikiliza
Bofya Hapa Kuisikiliza
Post a Comment