0

Kanye west amebadilisha tena jina la Album yake mpya ambayo itatoka tarehe 11 mwezi wa pili.

Kwasasa album hiyo inaitwa Waves, kabla hajabadilisha jina mara ya kwanza na kuiita Swish, albu hiyo ilikuwa inaitwa So help me God.

Kanye West ambaye amedai kuwa Album yake haitakuwa Album bora tu ya mwaka bali ya Album bora ya muda wote atazindua Album hiyo siku moja na collection ya nguo zake za Yeezy season 3.



Post a Comment

 
Top