Mikataba hiyo imehusisha project zake kama ‘Black Family Mafia’ aliyotangaza mapema mwanzoni mwa mwaka na project zingine ni ‘Tomorrow’ na ‘Today’ ambazo zitaonekana katika kituo cha Starz.
Inaelezwa kuwa rapper huyo amesaini dili hilo kwa kuhusisha jumla ya projectz nane ambazo zigine hajazitaja kwa sasa ila baadaye zitatajwa.
Kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram 50 alitoa taarifa hiyo iliyoandikwa na mtandao wa TMZ na kisha yeye kuandika.
Post a Comment