0


Kanye West na Wiz Khalifa waingia kwenye beef kali Kanye West na Wiz Khalifa wameingia kwenye beef zito. 

 Issue ilianza baada ya Wiz Khalifa kumponda Kanye kutokana na kuibadilisha album yake na kutoka Swish kuwa Waves. Wiz alidai kuwa Waves lilikuwa ni wazo la rapper aitwaye Max B.



Tweets Zilimfanya Kanye achafukwe kwenye tweets kama ifuatavyo!!



Post a Comment

 
Top