0

Alikiba kuachia video aliyoshoot Marekani Alhamisi ya wiki hii, imeongozwa na director aliyetengeneza filamu ya Tuxedo

Video ya wimbo mpya wa Alikiba ‘Lupela’ kutoka Alhamisi hii [Feb. 4]

Video hiyo ambayo ameifanya kwa ajili ya kampeni ya kupinga ujangili wa tembo ‘Wil Aid’ ilishootiwa Los Angeles Marekani miezi mitatu iliyopita ambapo pia alimtua mwalimu wa dansi (choreographer) Oththan Burnside ambaye amewahi kufanya kazi na wasanii wakubwa wa nchini humo ikiwemo Chris brown, Ciara, Nick Minaj, Ne-yo, Ashanti, Rihanna, Justin bieber na wengine.

Video hiyo imesamamiwa na mtengeneza filamu maarufu wa Hollywood, Kevin donovan.





Post a Comment

 
Top