0
Wiki hii utaweza kumpigia kura mtanzania Nandy kwenye shindano la Tecno Own The Stage.

Episode ya 12 ya Tecno own the stage, tumebakiwa na washiriki wanne tu ambao ni Nandy, Sikin, Shapeera, Pascal…Wewe kama shabiki utaweza kupiga kura kwaajili ya mtu unayetaka ashinde na fainali ni wiki ijayo kwenye studio za Ultima.


Post a Comment

 
Top