Wapendanao hawa wanaosumbua mjini kwa sasa wakiwa kwenye pozi la kimahaba. Mambo yalizidi kunoga wakiwa kwenye interview Clouds Fm kwenye Ala za Roho na kufikia kupigana denda hadharani. Wema ambaye amethibitisha kuwa anao ujauzito wa mpenzi wake Idris anaonekana mwenye furaha zaidi kuliko siku za nyuma.
Video Hii Hapa Ni Time Yako Kuitazama!!
Video Hii Hapa Ni Time Yako Kuitazama!!
Credit To BongoSwag
Post a Comment