Kim ameamua kuonesha picha hiyo katika siku ambayo amesherehekea siku ya kuzaliwa ya baba yake, marehemu Robert Kardashian.
Kim Kardashian amemuonesha leo mtoto wake wa kiume
Saint West kwa mara ya kwanza ikiwa ni siku ya birthday ya
mshua wake Robert Kardashians ambae alizaliwa Feb 22, 1944 na kufariki September 30, 2003
“Today is my dad’s birthday. I know there’s nothing more in the world he would have wanted than to meet his grandchildren. So I wanted to share this pic of Saint with you all,” ameandika Kim kwenye website yake.
Wema Sepetu ni miongoni mwa mastaa waliofurahia picha ya mtoto huyo.
Gnyt now... But Kimberly Kardashian sio kwa mtoto mzuri hivi jamani... Kama Pipi...!!! Mashallah jamani... God...! You are Able...! Saint West mzuri mno jamani... Dis Baby Boy too pretty ooo...
Ama sleep now...!!! But Saint too cute....
Iam inlove... Cant stop looking at him.... @fakelife20 This is for u my love...
Ameandika kwenye Instagram.
Kim Kardashian alimpata Saint December 5 mwaka jana.
Post a Comment