0

Kama wewe ni mtu wa mitandao ya kijamii katika pita pita zako utakuwa umekutana na picha za Harmonize akiposti picha za  mrembo wa 254 kenya Hudda Monroe na Hudda Monroe akiposti picha harmonize
kitu kilichofanya watu wengi kuibua hisia  kuwa wawili hao wako kwenye mahusiano ya kimapenzi.

Akijibu kuhusu swala hilo kupitia kituocha radio  harmonize amesema,”Hapana mimi sitoki na huddah,ni rafiki yangu tunapigaga stori sana,me ndio nilianza kupost picha zake na yeye akawa anapost ndio hivyo maisha yanaenda”

Harmonize amesema kuwa mrembo wa 254 kenya Hudda Monroe yupo kwenye  Tanzania lakini ameshindwa kuonana naye kutokana na yeye kuwa busy na majukumu ya  ngoma anayotaka kuachia.

Credit To : CloudsFm

Post a Comment

 
Top