Mwanzilishi na CEO wa Facebook, Mark Zuckerberg hajamtafuta Kanye West kama ambavyo rapper huyo aliimba, lakini amemjibu kwa njia nyingine isiyo ya moja kwa moja.
Kanye alimtaka bilionea huyo amsaidie kwa kuwekeza dola bilioni 1 kwenye idea zake anazoamini zitaubadilisha ulimwengu.
Zuckerberg hajajibu kwa maneno yake mwenyewe lakini alioesha kuwa anafahamu ombi la Kanye kwa kulike status ya Facebook ya mtumiaji wa mtandao huo.
Steven Grim aliandika kwenye mtandao huo, “Dear Kanye West: If you’re going to ask the CEO of Facebook for a billion dollars, maybe don’t do it on Twitter.”
Zuckerberg aliilike status hiyo.
Hii ni ishara kuwa Mark amelikaushia ombi la Kanye.
Post a Comment