Roc Nation ya Jay Z yampeleka Rita Ora Mahakamani.
Lebel ya Roc Nation inayoendeshwa na kumilikiwa na Jay Z yafungua kesi dhidi ya msanii Rita Ora.
Lebel hii inasema ilimchukua Rita Ora mwaka 2008 na kumpa mkataba wa kurekodi album 5 ila mpaka sasa amewakilisha albu moja tu na lebel imetumia mamilioni ya dola juu yake.
Rita Ora alifungua kesi December 2015 akidai fidia ya pesa na kusema lebel ya Roc Nation imechelewesha mafanikio yake na kumpotezea muda.
Roc Nation wanasema wametumia dola milioni $2.3 kutangaza kazi za Rita Ora na sasa wanataka pesa yao
Mwana sheria wa Rita ‘Howard King’ anasema Jay Z ameshakubali kumtoa Rita Ora kwenye lebel yake. Rita Ora mpaka ssa amefanya kazi na Wiz Khalifa, Ed Sheeran,na Chris Brown.
Post a Comment