RiRi amerudi na mziki mzuri kupitia album yake mpya ya ANTIdiaRy au ANTI , wimbo mpya ulitoka aliofanya na rapa Drake “Work” uliotayarishwa na Boi-1da na kuandikwa na PARTYNEXTDOOR.
Hii ni collabo ya tatu ya Rihanna na Drake baada ya “Take Care” ya mwaka 2012 na “What’s My Name?” ya mwaka 2010.
Wimbo huo ulifanikiwa kushika namba moja kwenye chati za itunes ndani ya dakika tisini tu toka umeachiwa kwenye mtandao huo
Video ya wimbo huo imekwisha kamilika inatoka jumatatu hii unaweza kutazama kionjo hapa bonyeza play kutazama
Post a Comment