May 28 /2016 Diamond Platnumz Na Team yake ya wasafi walikuwa DALLAS kwaajili ya show
kunayo moja ya video ambayo alipost instagram meneja wa diamond ilionyesha Platnumz akiwa ameweka meno ya Dhahabu.
Tumezowea kuona wenzetu marekani wakiwa wanapenda kuweka hivyo na imeshakuwa kama fashion kwa super stars wa marekani ,Unakumbuka msanii AY pia alishawekaga meno ya dizaini hii.
KARIBU KUTAZAMA VIDEO HIZO BOFYA PLAY KITAZAMA MENO YA DIAMOND PLATNUMZ
Part 1
Part2
Part 3
Post a Comment