0
Msanii @diamondplatnumz na familia nzima ya @wcb_wasafi walifika ofsini kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe @paulmakonda leo hii na kumkabidhi madawati 600 kwa ajili ya wanafunzi wa shule za Dar es salaam,ambayo yataweza kusaidia wanafunzi 1800 kutoka kwenye kukaa chini na kuweza kupata elimu vizuri, kwingineko endelea kumpigia Diamond Platnumz Kura Kwenye tuzo za BET kwa kubonyeza HAPA



kwenye ukurasa wake wa IG diamond ameandika hivii 



Post a Comment

 
Top