0
Msanii Rihanna amabye kwasasa anafanya vizuri katika mitindo na viatu vyake vya ‘Puma clippers’ na ‘Trainer’ akiwa ameshirikiana na kampuni ya Puma alitangaza ujuo wa perfume yake mpya aliyoipa jina la ‘Crush’ alitangaza siku ya June 14 ambayo itaingia sokoni mwezi Agosti mwaka huu.
Rihanna kwasasa ameamua zaidi kujikita kwenye mitindo ambapo amepanga kuzindua “Fenty Beauty by Rihanna” mwakani, 2017.

Post a Comment

 
Top