0

Nuh Mziwanda ambaye kwa sasa anapromote wimbo mpya na Ali Kiba wa Jike Shupa amesema colabo yake na Tekno Miles inakuja, Kwenye Interview na Diva Loveness Love Nuh Mziwanda alisema

“Hizo mambo zipo na tumeshaanza kuongea na Tekno, jamaa anauwezo mkubwa, anajua muziki, najiskia faraja kufanya naye kazi,ni producer mkubwa kama mimi, ni msanii mkubwa mwenye kipaji na tunashabiana maana ni mkali wa Melody na wote tunategemea Melody”

Nuh pia anasema alianza na Ali Kiba ambaye ni msanii pia wa Kimataifa.
#StoriBy Melisa #One ❤Yoo 

Post a Comment

 
Top