0
Mwana FA unaowa lini bado nipo nipo sana unasema?bado nipo nipo mwana ni moja kati ya hit song yake ambayo ilivuma sanaaa ,Hatimaye Mwana FA sasa hayupo yupo tena  June 5 amefunga ndoa na mpenzi wake aitwaye  Helga 

Ndoa hiyo ya kiislamu imehudhuriwa na ndugu na marafiki zake wa karibu wakiwemo AY, Hermy B, Ommy Dimpoz, Sallam, Dully Sykes, Alberto Msando na wengine.

Tazama picha zaidi:

Post a Comment

 
Top