Msanii @diamondplatnumz na familia nzima ya @wcb_wasafi walifika ofsini kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe @paulmakonda leo hii na kumkabidhi madawati 600 kwa ajili ya wanafunzi wa shule za Dar es salaam,ambayo yataweza kusaidia wanafunzi 1800 kutoka kwenye kukaa chini na kuweza kupata elimu vizuri, kwingineko endelea kumpigia Diamond Platnumz Kura Kwenye tuzo za BET kwa kubonyeza HAPA
MA MANEJA WA WCB WAKIWA NA MKUU WA MKOA WA DAR POUL MAKONDA
WASANII WA WCB WAKIWA NA MKUU WA MKOA WA DAR POUL MAKONDA
UONGOZI WA WCB UKISIKILIZA JAMBO KUTOKA KWA MKUU WA MKOA WA DAR POUL MAKONDA
Post a Comment