0
Yawezekana kukawa na uwezekano mkubwa kuwa Aslay na Ruby wana mahusiano ya kimapenzi,Kama wewe ni mmoja wa watu wanaotumia mitandao ya kijamii hususani instagram, najua huenda ukawa umekutana na post za mastaa wa Bongofleva Ruby na Aslay ambazo zinatafsiri ya wawili hao kuwa katika  mahusiano.

Mrembo wa bongo fleva Ruby amepost picha za Aslay nakuandika maneno mazuri yanayoashiria kuwa ni mpenzi wake lakini pia kwa upande wa Aslay alipost picha za ruby nakuandika maneno matamu yanayoashiria wawili hao kuwa wapenzi kama inavyosomeka katika hizi picha.
Maneno maneno yasivuruge amani!! @aslayisihaka love you my sucre, apple Of my heart πŸ’❤,can't hide my feelings for you @aslayisihaka #wangu mm! #suuuu #NAYULE #FOREVER

My BFF...😘
iamrubyafricaRohoo yangu mm apa @aslayisihaka


iamrubyafricaI know what is love....age is just 123... number# hata kwenye kiatu utaikuta,nakupenda kwasababu ya mapenz unayonipa,don't give a f**k...and @aslayisihaka suuuuuucreee plz come back home soonest cause I wanna give you somelove😍😍
#I LOVE YOU #I WANNA PLAY MY PART...

Aslay na yeye alipost hizii!!

aslayisihakaWangu Mimi #suuuuuu

aslayisihakaRamadhani Kareeeeeeeeem ..........#su

aslayisihakaNafa Taratibu #blackbeauty jamaniiii nyinyiiiiiii .......#su

aslayisihakaMaaashaallah 😘😘 #suuuuuuuuuuuuuuu

Hayo ndio yaliyoendelea huko instagram lakini mawazo ya wengi yanadai huenda ikawa ni kiki ya nyimbo kati ya wawili hao tusubiri kuona mwafaka ni nini

Post a Comment

 
Top