0

Baada ya kuiona video ya Ex wake Nuh Mziwanda ‘Jike shupa’, msanii wa kike wa muziki Bongo Shilole amemind kile kinachoonekana kwenye video hiyo kwa sababu kinaakisi maisha yao ya zamani wakiwa pamoja.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Shilole amedai ni ushamba na style ya zamani kutumia mgongo wa mtu mwingine kufanya kazi zako, huku akienda mbali zaidi na kufunguka kuwa ‘king’ast wake huyo wa zamani hakujua hata kufua nguo ya ndani.
ITAZAME JIKE SHUPA HAPA !

         

Post a Comment

 
Top