0
Mwaka huu  Chidi Benz alikiri kutumia Madawa ya kulevya na kuomba msaada huku afya yake ilionekana kumtia huruma ambapo meneja Diamond na Tip Top Connection, Babu Tale akishirikiana na Kalapina walimsaidia na kumpeleka katika kituo cha Bagamoyo Sober House ambacho kilimsaidia kuachana na Matumizi ya madawa ya kulevya.

Jumatano hii katika mitandao ya kijamii kumesambaa picha mpya za rapper huyo zikimuonyesha jinsi alivyopendeza hali ambayo imewafanya mashabiki kumpongeza yeye pamoja na Babu Tale mashabiki wamekuwa wakikoment kwakutumia # Hashtag #newchidibeenz #thereturnofkingkong #Chumaaaaaa.

SOMA HIZI BAADHI YA COMMENT ZA MASHABIKI
A photo posted by officialchidibeenz (@officialchidibeenz) on

A photo posted by officialchidibeenz (@officialchidibeenz) on

A photo posted by officialchidibeenz (@officialchidibeenz) on

A photo posted by officialchidibeenz (@officialchidibeenz) on

Post a Comment

Top