0
Jumapili ya July 10 2016 mama mzazi wa msanii wa Bongofleva Diamond Platnumz amempost Wema Sepetu ambaye alikuwa ni girlfriend wa zamani wa Diamond Platnumz.
Picha aliyopost mama Diamond

kendrah_michaelUzalendo kwanza..umependeza sanaa mamy akee

Najua ni kipindi kirefu kimepita toka toka Diamond Platnumz na Wema waachane, toka Diamond na Wema waachane ni kipindi kirefu kimepita na watanzania hawakuona upande wa Diamond wakimzungumzia Wema, lakini sasa hivi imekuwa sio ishu tena kwa Wema kumpost mama Diamond na yeye kupostiwa na mama Diamond.
Picha aliyopost Romy Jons

Baada ya mama Diamond kupost alifuatia Romy Jons ambaye ni kaka yake na Diamond Platnumz, hiyo inaonesha kuwa upande wa Diamond Platnumz na Wema Sepetu hakuna tatizo kama ambavyo baadhi ya watu walikuwa wanaweza kuhisi.
Hii inaashiria kuwa Wema Sepetu na familia ya Diamond platnumz hakuna tofauti zozote.

Post a Comment

 
Top