Diamond Platnumz July 5 /2016 aliweza kufanya jamb ambalo watu wengi hawawezi kutarajia kuona kwenye mtandao wa kijamii baada ya kupost kwenye Instagram kuhusu show ambayo imeandaliwa na mpenzi wake wa zamani Wema Sepetu pamoja na Christian Bella na Idris.
‘Watu wamekuwa wakiitumia hii beef yetu kujipatia followers hasa kwenye mitandao yao kwasababu mtu anaweza akatokea sehemu yoyote na kuanza kunitukana mimi au kumtukana Naseeb akajipatia followers wa kutosha, kuna muda mimi nilikuwa naogopa kuimba wimbo wa Diamond unapopigwa naogopa hata kucheza’Wema Sepetu Alisema
‘Nikisikia nyimbo za Naseeb siwezi kuimba inanibidi nikaze lakini mwisho wa siku najikomoa mimi mwenyewe nikikaa kwenye gari nitaimba kama utakuwa unakumbuka nilivyoimba mara ya kwanza watu wakashangaa wakawa wanajiuliza maswali mengi sana, kwasasa hatuko kwenye mapenzi lakini tunasaidiana kazi kuonesha uzalendo’ Alisema Wema Sewpetu
POSTI HII HAPA CHINI NDIYO ALIPOST DIAMOND
POSTI HII HAPA CHINI NDIYO ALIPOST DIAMOND
Credit To MilardAyo
Post a Comment