0


Ex Girlfriend wa rapper Meek Mill ambaye  sasa inadaiwa ndio new girlfriend wa rapper Nas, Nicki Minaj amecharuka upya kwa kuachia picha yake tata katika mtandao wa Instagram.
 

Wiki chache zilizolita mrembo huyo aliachia picha zingine tata ambazo zilitoka katika jarida la Paper Magazine katika kipengele cha Break The Internet, ambazo zilimfanya ex wake Safaree kumtamani upya mrembo huyo.



 

Post ya Nicki Minaj ilikuwa hivii
A post shared by Barbie® (@nickiminaj) on

Post a Comment

 
Top