Countdown ya siku kuielekea December 19 2015 siku ya fainali ya Miss World 2015 inazidi kusonga ambapo mpaka sasa ni kama wiki mojahivi imepita toka warembo wetu wanaowakilisha kwenye mashindano ya mwaka huu wamewasili Sanya China kwa ajili ya kukaa kambi ya maandalizi ya fainali hizo.
Nikufahamishe tu mtu wa nguvu kwamba kabla ya kuifikia siku ya fainali yenyewe, kuna vitu vingi vitaendelea ndani ya China ikiwemo warembo kutembelea maeneo mbalimbali yaliyopo kwenye nchi hiyo.
Miss Tanzania, Lilian Kamazima kwenye selfie na warembo wengine ndani ya China.
Time nyingine hii hapa unaambiwa warembo hao walivalia mavazi yenye asili ya nchi wanazotokea kama njia ya kuonesha sehemu ya utamaduni wa mavazi ya asili yao… hapa nina picha za warembo 11 wa Africa walivyotokezea yani, na mrembo wetu Lilian Deus Kamazima nae yumo !!
Seneo Mabengano (Botswana)
Reine Ngotala (Gabon)
Charity Mwangi (Kenya)
Relebohile Kobeli (Lesotho)
Lilian Deus Kamazima
Miss Tanzania, Lilian Kamazima kwenye selfie na warembo wengine ndani ya China.
Aurellia Bégué (Mauritius)
Steffi Van Wyk (Namibia)
Linne Freminot (Seychelles)
Liesl Laurie (South Africa)
Ajaa Monchol (South Sudan)
Mrembo Lilian Deus Kamazima (Tanzania)
Zahara Nakiyaga (Uganda)
Post a Comment