0
Countdown kwa sasa ni juu ya ROYALT.Ikiwa siyo chini ya wiki tatu zilizosalia ,Chris Brown kutoa album yake ya saba. 
Nyota huyo wa R&B amekuwa akijenga matarajio ya nyimbo kama "ZERO" BACK TO SLEEP" na hit ya mwisho aliyoachi siku chache "FINE BY ME" pamoja na kanda mseto {Mix Tape} aliyoitoa kwa kushtukiza 'Befor The Part'. 

ROYALT ni Alblum iliyotokana na Binti yake mwenye mwaka mmoja na nusu 'Siwezi kuwa mkamilifu,lakini ana nisaidia mimi kufanya maamuzi sahihi,Chris aliiambia Hot 97 Rayaly inatoka Dec 18 na inapatikana  kwa manunuzi ya kabla kwenye mtandao wa iTUnes 
Angalia Truck List Hapa Chini

ROYALTY TRACKLISTING
1. “Back to Sleep”
2. “Fine By Me”
3. “Wrist” feat. Solo Lucci
4. “Make Love”
5. “Liquor”
6. “Zero”
7. “Anyway”
8. “Picture Me Rollin'”
9. “Who’s Gonna (NOBODY)”
10. “Discover”
11. “Little Bit”
12. “Proof”
13. “No Filter”
14. “Little More (Royalty)”

DELUXE EDITION

15. “Day One”
16. “Blow It In the Wind”
17. “KAE”
18. “U Did It” feat. Future

Post a Comment

 
Top