Stamina ameachia album yake aliyokuahidi Mt. Uluguru ikiwa na nyimbo 20! Licha ya hiyo, Stamina ameongeza nyimbo 6 BONUS kwenye album hiyo ambazo zitakuwa zikipatikana Mkito.
Wimbo wa kwanza kwenye bonus hizo ni huu hapa akimshirikisha Mr Blue, Panga Pangua!
Post a Comment