Hii inakua safari ya tatu kwenda nje ya Dar es salaam toka aapishwe kuwa Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, nakumbuka aliwahi kwenda Dodoma kwenye ufunguzi wa bunge mwisho wa mwaka 2015, alafu akaenda Zanzibar kwenye sherehe za Mapinduzi January 2015 na hii ya Arusha ni safari yake ya tatu.
Hizi hapa pichaz zake akiwa kwenye sare za kijeshi, ziara yake Arusha inahusu pia shughuli ya kuwatunuku Kamisheni ya Uofisa Maofisa wateule wa Jeshi katika Chuo cha Kijeshi TMA, Monduli.
Post a Comment