Ni muda mrefu umepita tangu beef ya mastaa wawili kutoka pande za Marekani Drake na Tyga ziingie kwenye headlines, Drake na Tyga beef kati yao ilijulikana mwaka 2014 baada ya Tyga kutoa kauli hii kuhusu Drake alipohojiwa na Vibe Magazine.
“I don’t like Drake as a person. He’s just fake to me. I like his music, you know what I’m saying? I think his music is good, but we’re all different people. (…) We were forced together and it was kinda like we were forcing relationships together.” Tyga
Baada ya hapo Drake alijibu maneno ya Tyga kupitia hit Single yake ya 6 PM in New York “I heard a lil lil homie talking reckless in Vibe / Quite a platform you chose, you shoulda kept it inside / Oh you tried, it’s so childish calling my name on the world stage / You need to act your age and not your girl’s age” Drake
Hata hivyo beef ya mastaa hao imemalizwa na Rapper wa uzito wa juu Kanye West, uthibitisho wa beef hiyo kumalizwa ulitolewa na Tyga mwenye katika exclusive interview na kituo cha radio, baada ya kumshukuru Kanye West kwa kwa kumaliza tofauti zao.
Post a Comment