0

Kwa shabiki Kanye west na wa hiphop anaisubiri kazi mpya ya Kanye West kila ijumaa kupitia G.O.O.D. Friday #WheneverKanyeFinishesTheSongAndDropsIt, pamekuwa na tetesi kibao kuhusu Drake kushirikishwa kwenye album hii. Drake na Kanye West waliwahi kusikika kwenye wimbo wa “Forever”na Lil Wayne,Eminem na Thank Me Later.Album mpya ya Kanye inatoka Feb 11 2016 na imeitwa Swish

Post a Comment

 
Top