Wazo la Kurudi shule la Meek Mill ni njia ya kukwepa kwenda jela tena.
Baada ya rapa Meek Mill kusema wazi kuwa ameshajiandikisha kurudi chuo mwaka huu inasemekana kuwa hili ni wazo la rapa huyu na wanasheria wake la kumuwezesha Meek Mill kukwepa kifunge tena.
Meek Mill alialikwa kwneye shule ya sekondari ya Overbrook kuongea na wanafunzi kuhusu kufanikisha ndoto zao na aliweka wazi kuwa naye anarudi shule.
Post a Comment