0


Lil Wayne na Birdman wanaelekea kumaliza beef yao ya zaidi ya mwaka sasa na imetajwa kuwa wasanii wa Young Money wenye furaha zaidi kuona beef hii imekwisha ni Nicki Minaj na Drake.

Inasemekana Drake na Nicki Minaj walilazimishwa kuchagua upande wakati beef hii inaendelea mamuzi ambayo yalikuwa magumu kwa wasanii hawa.Inasemekana Nicki Minaj alifanya sherehe ndoga ya pre-Grammy na Birdman alizuiliwa mlangoni.

Nicki na Drake walimtetea Lil Wayne ila bado walikuwa karibu na Birdman sababu yeye ndio boss.

Post a Comment

 
Top