0
Tetesi,Picha ya msanii wa muziki wa injili anayetegemewa kuwepo kwenye album ya Kanye West.
Kuelekea kutoka kwa album mpya ya Kanye West, msanii wa nyimbo za injili Kirk Franklin anategemewa kusikika kwenye album hio iliyopewa jina “WAVES”.

Album hii inategemewa kutoka February 11 2015 na kwenye picha ya mwisho ya Kanye West akiwa studio anaonekana na Andre 3000, 2 Chainz, Kirk Franklin,A$AP Bari ,Kid Cudi , Puff Daddy na French Montana.

Post a Comment

 
Top