Rapa Wale amaliza beef yake na bosi wa WWE Vince McMahon.
Wale ameweka wazi kuwa angependa kufanya kazi na bosi wa WWE Vince McMahon baad aya miaka miwili ya beef yao.
Wale alifungiwa kuingia kwenye mapambano ya WWE Kwa muda wa miaka miwili. Wale pia amekutana na wacheza mmieleka na Triple H, The Rock na mmiliki wa WWE Vince McMahon.
WWE wamesema hapakuwa na tamko kutoka kwa uongozi wa WWE kuhusu kufungiwa kwa Wale.
Post a Comment