0
Kim Kardashian ni miongoni mwa watu maarufu kwa kuvunja rekodi kubwa mitandaoni kwa picha na matukio yake tofauti. 
Kim K alishindwa tuzo ya “Break the Internet” kwenye tuzo za Webby zilizofanyika mjini New York, Hii ndio picha aliyowaka mtandaoni mwezi wa tatu na ndio iliyoongelewa zaidi mwaka huu.

Kibongo bongo unahisi nani anastahili kupata kitu kama hiki kutokana na matukio yake yakupiga picha.

Post a Comment

 
Top