Ni jumba la kifahari lililokuwa likiangaliwa kwa ukaribu na familia ya Shawn Corey Carter ‘Jay Z na Beyonce’ jumba lipo mji wa LA limenunuliwa na mbunifu wa mavazi na director Tom Ford.
Tom ameweza kutoa mkwanja wakufikia dola milioni $50 na kununua jumba hilo lililopo huko mitaa ya kistaa ya Beverly Hills. Jay Z na Beyonce walitaka kulipia dola milioni $49 tu.
Tom Ford, Beyoncé Na Jay-Z kwenye Tom Ford fashion show huko Los Angeles
Jumba liko kwenye Ekaru 3.2, lina vyumba tisa vya kulala ,10 bathrooms. Lilijengwa mwaka 1934 , waliowahi kuishi humo ni pamoja na mastaa wakubwa kama William Powell na mtayarishaji wa filamu za ‘James Bond’ producer Albert Broccoli.
Post a Comment