0

Blac Chyna ameshaanza kula chakula cha watu wa wili, nikimaanisha yeye pamoja na mwanae mtarajiwa, na mpenzi wake Rob Kardashian ameonekana akimsaidia mpenzi wake huyo kula.

 Wapenzi hao walionekana  wakila chakula cha mchana katika Ft. Lauderdale, na walipo maliza wakaelekea katika hoteli yao kwa ajili ya mapumziko, na mrembo Blac Chyna alionekana tena akila wale wadudu wa baharini crab (Kaa)
Chyna na Rob walionekana katika hotel ya vyakula vya baharini Rustic Inn Seafood restaurant ijumaa hii wakiwa wamegandana pamoja, na baadae wakaelekea SLS South Beach.

 Mimba ya Blac Chyna inaonekana kupenda kula wale wadudu”Kaa” na mashabiki wamesha mtungia jina mtoto huyo kabla hajazaliwa na kumwita “King Crab” (Mfalme kaa)

Post a Comment

 
Top