0
video yake mpya ya Alikiba  inaitwa ‘Aje’ ambayo imefanyika Cape Town South Africa ikiwa ni single yake ya kwanza kutoka chini ya mkataba na Sony Music aliousaini leo May 19 2016 Johannesburg South Africa, ukishaitazama utuachie comment yako ili akipita hapa na timu yake wajue watu wanasemaje

Post a Comment

 
Top